Tiba Ya U.T.I
Tiba ya U.T.I
Soma hii itakusaidia sana...
Epuka maambukizi ya njia ya mkojo na uvimbe wa kibofu cha mkojo kwa kutumia tui la nazi, blueberries na ndimu. .
Matunda haya pamoja na tui la nazi yana uwezo mkubwa wa kupambana na maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) na uvimbe katika kibofu.
Bacteria wanaoshambulia njia ya mkojo wanauwezo mkubwa wa kujizalisha kwa wingi ndani ya kibofu na kusababisha magonjwa ambayo wengi yanawasumbua mara kwa mara na kujikuta kila mara wakitumia dawa mpaka maambukizi yanakuwa kama sehemu ya maisha yao.
Sasa anza na hii iwe ni sehemu ya kinywaji chako kila siku walau glasi mbili.
Faida zake.
Blueberries zinauwezo wa kuondoa bacteria wanaozaliana katika kuta za kibofu cha mkojo na hivyo basi kukuepusha na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
Tui la nazi lina virutubisho ambavyo vinakinga za kutosha kupambana na bacteria wanaosababisha magonjwa ya njia ya mkojo.
Vyote hivi kwa pamoja ukichanganya na ndimu ni kinga tosha hata kwa kuzuia uvimbe katika kibofu cha mkojo.
Mahitaji
Blueberries kikombe kimoja (gram 148)
Nusu kimombe cha Tui la nazi
Kikombe kimoja cha maji (250ml)
Juisi ya ndimu vijiko viwili vya chai
Nusu kimombe cha Tui la nazi
Kikombe kimoja cha maji (250ml)
Juisi ya ndimu vijiko viwili vya chai
Jinsi ya kuandaa
Tumia mashine ya kusagia juisi weka blueberries pamoja na vitu vingine vyote saga mpaka utakapopata rojo laini.
Unaweza kuweka asali au molasses kupata radha. Baada ya hapo itakuwa tayari kunywewa.
Kwa Tiba Zilizoandaliwa
Wasiliana na Doctor Seifu
Toa maoni yako hapa
ReplyDeleteOk
Delete