Maji Ya Ndimu
Anza siku yako kwa kunywa maji ya ndimu na limao (lemonades juice)
Itakusaidia kufanya yafuatayo:
-Kuchangamsha mwili
Kufanya mzunguko wa damu kwenda vizuri,
Kuzuia na kuondoa maumivu ya misuli na mifupa
Kupunguza uzito kutokana na uchomaji wa mafuta unafanywa na juice hii.
Ni kinga dhidi ya magonjwa ya Ini, kansa ya matiti, tezi dume na kansa ya utumbo
Kuzuia uundwaji wa mawe kwenye figo
Kuondoa sumu mwilini
Kuzuia vimelea vinavyoweza kuleta maradhi ya mdomo na koo la chakula
Pia ni chanzo kizuri cha madini ya chuma hasa potassium na magnesium...
Mahitaji
Kikombe kimoja cha juisi ya Ndimu (ndimu nne ) na limao mbili
Vikombe vitatu vya maji
Kijiko kimoja cha mdalasini
Kijiko kimoja cha asali
Barafu(ukipenda)
Jinsi ya kuandaa.
*Chukua mahitaji yaliyoorodheshwa hapo juu changanya pamoja tayari kwa kunywa .

Comments
Post a Comment