Tiba ya Pumu

Tiba ya pumu

Kama unasumbuliwa sana na Asthma juice hii itakuwa msaada kwako kama utaitumia Mara Kwa Mara...

Mahitaji.

Karoti kumi za wastani

Majani ya mchicha kiganja kimoja kilichojaa

Apple moja

Tangawizi kijiko kimoja

Ndimu moja

Kitunguu swaumu punje mbili tu... Jinsi ya kuandaa

Osha mahitaji yako na uanze kwa kukata kata Karoti, baada ya Hapo menya vitunguu saumu, kisha Osha Apple na uikatekate baada ya kumenya na kuondoa mbegu. .

Baada ya Hapo chukua blender weka Karoti, Apple, mchicha, tangawizi, kitunguu saumu, na ukamulie ndimu kisha saga hadi vilainike sana. Baada ya Hapo Mimina kwenye jagi tayari kwa kunywa.

Kwa Tiba zilizoandaliwa kitaalamu

Wasiliana na Doctor Seifu

0763311841 / 0679919692

Comments

Popular posts from this blog

Tiba ya Mifupa

Tiba Ya U.T.I