Tiba ya Mifupa
Tiba ya Mifupa
Zuia tatizo la mifupa kwa kutumia juisi yenye mchanganyiko wa Machungwana unga wa ubuyu. Kama utakosa unga wa ubuyu basi tumia almond butter....
Mchanganyiko huu unasaidia sana kuimarisha mifupa hasa kutokana na virutubisho vilivyopo ndani yake kuliko hata mtu akinywa maziwa peke yake. Unapotumia unapata vitamini K, C, A, E,B1,B2 & B6.
Vilevile utapata madini chuma kama vile Calcium, Iron, Magnesium, Potassium na Folate ambayo yanasaidia sana katika kuifanya mifupa kuwa Imara na kuepuka udhaifu wa mifupa (kitaalam Osteoporosis) na kujikuta unateseka kwa kuumwa mifupa mara kwa mara. .
Pia ni juisi inayosaidia sana kupunguza uzito wa mwili na kupunguza kiwango cha Cholesterol mwilini hivyo kukusaidia kuondokana na maradhi mengine yanayosababishwa na uzito mkubwa mwilini pamoja na wingi wa cholesterol.
Mahitaji
Kikombe kimoja cha juisi ya chungwa (250ml)
Kijiko cha chai kimoja cha unga wa ubuyu
Tumia kijiko kimoja cha chai cha almond butter kama huna ubuyu
Majani mawili ya mint
Jinsi ya kuandaa
Andaa juisi ya chungwa changanya na unga wa ubuyu kijiko kimoja au almond butter kisha ongeza majani ya mint mawili changanya vizuri kwa kutumia mkono baada ya hapo andaa tayari kwa kunywa.
Unaweza kuweka sukari kijiko kimoja ukipenda (sukari si lazima kama unaweza kuinywa hivyohivyo)

Mchanganyiko huu unasaidia sana kuimarisha mifupa hasa kutokana na virutubisho vilivyopo ndani yake kuliko hata mtu akinywa maziwa peke yake.
Unapotumia unapata vitamini K, C, A, E,B1,B2 & B6.

Mahitaji.

Toa maon yako
ReplyDelete